MEWATA PROFILE

Vision:

The vision of MEWATA is “Healthy Tanzanian population accessing quality health services that are affordable and sustainable through efficient and effective support systems.”

Mission:

“To advocate for and facilitate provision of quality health services among women, young people, children and men through existing social systems and capacity building among health professionals”.

Sunday, June 29, 2014

DAY ONE.. PRECONFERENCE ACTIVITIES.. CHIPUKIZI AND KITETE

Tunawashukuru wananchi wa Tabora waliojitokeza kwenye zoezi zima la uchunguzi wa awali wa saratai ya shingo ya kizazi na matiti Tabora 2014

madam chair MEWATA, Dr. Serafina Mkuwa, (wa pili kushoto) akiteta na Her Excellency The First Lady mama Salma Kikwete (wa kwanza kushoto)

madam chair addressing in Tabora cervical and breast cancer screening activities- MEWATA 
Her Excellency The First Lady of Tanzania, Mama Mlezi-MEWATA Salma Kikwete addressing the mass in Tabora during MEWATA cervical and breast cancer screening activities launch at Chipukizi grounds
Mdau wetu wa nguvu from Marie Stopes addressing the public in Tabora during MEWATA cervical and breast cancer screening activities, Chipukizi grounds

Mkuu wa Mkoa wa Tabora, mama..... addressing the mass in Tabora during MEWATA cervical and breast cancer screening activities launching.

Naibu Waziri akiuhutubia umma wa Tabora ufunguzi wa MEWATA breast and cervical cancer screening activities

Baba yetu, mpendwa wetu, mdau wetu, mpenda afya ya wananchi wake! His Excellency, the President of Republic of Tanzania, Dr. Jakaya Mrisho Kikwete addressing the public and officiating MEWATA breast and cervical cancer screening activities in Tabora Region and neighborhood!!

Madam Chair MEWATA (wa kwanza kushoto) akiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baba yetu, Dr. Jakaya Mrisho Kikwete 

Madaktari Wa Nguvu wa MEWATA wakiwaw na viongozi na wadau wetu walioshiriki zoezi la uchunguzi wa awali wa Saratani ya matiti na shingo ya uzazi Tabora-chipukizi groundsDr Elizabeth Mshana, akitoa elimu juu ya dalili za awali na umuhimu wa kujichunguza saratani ya matiti na shingo ya kizazi kwa wananchi wa Tabora- Kitete Hospital.
Dr Amina akitoa elimu juu ya dalili za awali na umuhimu wa kujichunguza saratani ya matiti na shingo ya kizazi kwa wananchi wa Tabora- chipukizi grounds

Future Female Doctors kutoka shule ya Tabora Girls wakisimamia sawasawa zoezi la uandikishwaji

Dr akitoa elimu juu ya dalili za awali na umuhimu wa kujichunguza saratani ya matiti na shingo ya kizazi kwa wananchi wa Tabora- chipukizi grounds

Wadau Kutoka Tabora Radio walihakikisha matangazo yako hewani LIVE na waliwahamasisha akina mama wengi sana.. asanteni sana.. Pichani mwenyekiti akihojiwa

Wadau Kutoka Tabora Radio walihakikisha matangazo yako hewani LIVE na waliwahamasisha akina mama wengi sana.. asanteni sana.. Pichani mwenyekiti akihojiwa
Tunawashukuru wananchi wa Tabora waliojitokeza kwenye zoezi zima la uchunguzi wa awali wa saratai ya shingo ya kizazi na matiti

Katibu MEWATA, Dr. Magdalene, madam chair wakiteta mbinu mkakati juu ya kuitokomeza saratani ya shingo ya kizazi na Naibu waziri wa Afya

Madam Chair, Dr. Serafina akimpokea Mama Mlezi MEWATA, mama Salma KikweteMadam Chair, Dr. Serafina akimpokea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. JAkaya Mrisho Kikwete

Madam Chair, Dr. Serafina akimuonyesha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete mabanda yaliondaliwa kutoa huduma za uchunguzi wa awali wa saratani ya shingo ya kizazi na matiti

Mama yetu wa nguvu.... tunakupendaaaaje??!! 
Asanteni sana kwa kuja.. Mungu awabariki na kuwazidishia
Dr Flora Pallangyo akitoa elimu juu ya dalili za awali na umuhimu wa kujichunguza saratani ya matiti na shingo ya kizazi kwa wananchi wa Tabora- chipukizi grounds

Tunawashukuru wananchi wa Tabora waliojitokeza kwenye zoezi zima la uchunguzi wa awali wa saratai ya shingo ya kizazi na matiti
Kazi ziliendelea hadi usiku ikabidi wananchi kuombwa kurudi tenna kesho yake... Asanteni sana kwa uvumilivu mliotuonyesha 

Madaktari walinyoosha viungo kidogo na kwaito moja... kisha kuondoka kupumzika... pamoja na uchovu wote ila walifurahi sana kudumia umati mkubwa na tabasamu ziliwajaa kama muonavyo pichani

Madaktari walinyoosha viungo kidogo na kwaito moja... kisha kuondoka kupumzika... pamoja na uchovu wote ila walifurahi sana kudumia umati mkubwa na tabasamu ziliwajaa kama muonavyo pichani

Tunawashukuru wananchi wa Tabora waliojitokeza kwenye zoezi zima la uchunguzi wa awali wa saratai ya shingo ya kizazi na matiti Tabora 2014

Alfajiri Kesho yake ilibidi tutimize ahadi na hapa ni madaktari wakiweka logistic sawa tayari kuendelea na zoezi... asanteni sana Madaktari wakinamama wa NGUVU... 

Vivaaaaa MEWATA!!!!!